News
TTB YATUMIA FURSA YA “ THE Z-SUMMIT KUTANGAZA VIVUTIO VYA UTALII VYA TANZANIA
Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) ni Miongoni mwa Taasisi za Serikali zinazoshiriki katika Mkutano wa Kimataifa wa Sekta ya Utalii “The Z-SUMMIT” pamoja na Maonesho yanayohusisha wadau wa utalii. Mkutano huu wa kwanza kufanyika viziwani Zanzibar umefunguliwa rasmi na Rais wa Zanzibar, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi una lengo la kuwaunganisha wadau wa sekta ya utalii na wawekezaji wa ndani, Afrika Mashariki na kimataifa.... Read More
Posted On: Mar 12, 2023
MKURUGENZI MKUU TTB AWATAKA WATUMISHI KUTEKELEZA MAJUKUMU YAO KWA KUSHIRIKIANA
Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), Bw. Damasi Joseph Mfugale amefanya kikao na watumishi wa TTB kwa lengo la kujitambulisha kwa watumishi na kutoa dira ya namna watakavyokuwa wanatekeleza majukumu yao ya kila siku. Hiki ni kikao chake cha kwanza tangu kuteuliwa kwake na Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.... Read More
Posted On: Mar 12, 2023
TTB LAUDS SIMBA'S NEW CAF KIT
AFTER introducing ‘Visit Tanzania’ kit for the CAF Champions League mission, the government through Tanzania Tourist Board (TTB) has hailed Simba for the positive gesture. The Msimbazi Street Reds unveiled new pairs of jerseys at a function held in Dar es Salaam on Tuesday evening and once again, they have joined the race to promote the country’s tourism through sports.... Read More
Posted On: Mar 11, 2023
TTB YAWANOA WADAU WA UTALII WA KITAMADUNI KANDA YA KUSINI
Wakati serikali ikiendelea kuboresha miundombinu ya barabara na viwanja vya ndege, Bodi ya utalii nchini TTB imeanza kutoa mafunzo kwa wadau wa utalii wa kitamaduni Kanda ya kusini ili kuwandaa kuitumia fursa hiyo kukuza biashara zao.... Read More
Posted On: Mar 02, 2023
WADAU WA UTALII WA MKOA WA MWANZA WASHIRIKISHWA KUANDAA MPANGO MKAKATI MPYA WA MIAKA MITANO (5) WA BODI YA UTALII TANZANIA
Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) imekutana na wadau wa Utalii wa mkoa wa Mwanza kwa lengo la kuwashirikisha wadau wa utalii wa mkoa wa Mwanza katika kutayarisha Mpango Mkakati (Corporate Strategic Plan) mpya wa miaka mitano wa TTB ambao utakaotumika kuanzia mwaka wa fedha wa 2022/2023 mpaka 2026/2027.... Read More
Posted On: Mar 02, 2023
PROF. SEDOYEKA AIPONGEZA BODI YA UTALII TANZANIA (TTB)
Katibu Mkuu Wizara ya Maliasilina Utalii, Prof Eliamani Sedoyeka ameipongeza Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) kwa juhudi wanazozifanya za kutangaza utalii wa Tanzania kupitia matukio mbalimbali yanayofanyika ndani na nje ya Tanzania.... Read More
Posted On: Dec 17, 2022
MKURUGENZI WA SERA NA MIPANGO WA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII ATEMBELEA KITUO CHA KUTOLEA TAARIFA ZA UTALII KIDIJITALI
Mkurugenzi wa Sera na Mipango wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Bw. Cyrus Kapinga atembelea ofisi za Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) kwa lengo la kujifunza na kuona shughuli zinazofanywa ndani ya kituo cha kutoa taarifa za utalii wa Tanzania kidijitali (Digital Command Centre).... Read More
Posted On: Dec 17, 2022
BODI YA UTALII TANZANIA YAENDELEA KUTANGAZA UTALII KUPITIA MICHEZO
Bodi ya Utalii Tanzania imeendelea na mkakati wa Kuhamasisha na kutangaza vivutio vya utalii vya Tanzania. Ikiwa ni mwendelezo wa kugawa vifaa vya michezo kwa Timu ya mpira wa miguu ya Mwanga City Queens ya mkoani Kigoma. Timu hii ya Wananwakeimefuzu kucheza katika msimu wa mashindano yajayo ya Ligi ya Mabingwa wa Mikoa ya Tanzania.... Read More
Posted On: Dec 17, 2022